Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem wakati alipowasili katika banda la kampuni hiyo lililoko katika Maonyesho ya biashara ya Sabasaba viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam ambapo maonyesho ya biashara ya Sabasaba yanayoendelea kwa muda wa siku kumi na mbili .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni wakati alipowasili katika banda la kampuni hiyo lililoko katika Maonyesho ya biashara ya Sabasaba viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan , Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem wakijadiliana jambo wakati Makamu wa Rais alipotembelea katika banda la kampuni hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem kuhusu Ndege Maalum usiyotumia rubani inayopiga picha za Ramani za Majengo na matumizi mengine kwa muda mfupi zaidi na kurahisisha kazi ya upimaji ikiwa ni pamoja na kuokoa fedha nyingi katika miradi ya upimaji, Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Bw. Charles Mwijage
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akionyeshwa michoro ya ramani mbalimbali za viwanja na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem wakati alipotembelea katika banda la kampuni hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akionyeshwa aina mbalimbali za rangi za nyumba na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem wakati alipotembelea katika banda la kampuni hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akionyeshwa akionyeshwa moja ya teknolojia ya ujenzi wa nhumba nafuu kutoka kwa mmoja wa wataalamu wa Kampuni ya Property International wakati alipotembelea katika banda la kampuni hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akipewa maelezo ya vifaa mbalimbali vya ujenzi vinavyopatikana kutoka kampuni hiyo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Property International Bw. A. Haleem
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wa Kampuni ya Property International wakati mara baada ya kumaliza kutembelea katika banda la kampuni hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan akiakizungumza na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda mara baada ya kumaliza kutembelea katika banda la kampuni hiyo.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top