Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Maelfu ya watu wameandama katika mji wa Istanbul nchini Uturuki dhidi ya Rais wa nchi hiyo Recip Tayyip Erdogan.Akihutubia katika maandamano hayo, kiongozi mkuu wa upinzani Kemal Kilicdaroglu, ameishutumu serikali kwa mfululizo wa kukamatwa na kufungwa kwa watu ikiwa ni matokeo ya jaribio la mapinduzi lililoshindikana mwaka jana.
Amesema raia wa Uturuki wanaishi chini ya Udikteta, Rais Erdogan maandamano hayo yanaunga mkono ugaidi


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top