Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Kiungo wa klabu ya soka Liverpool ya Uingereza, Lucas Pezzini Leiva ameonekana kukaribia kutua katika ligi ya Italia.
Mapema leo kiungo huyo amefanyiwa vipimo katika klabu ya Lazio ambayo inashiriki ligi kuu ya nchini humo.
Lucas Leiva akifanyiwa vipimo mapema leo
Lucas ameichezea Liverpool takribani mechi 247 kwa kipindi cha misimu 10 tangu aliposajiliwa mwaka 2017 akitokea Gremio a Brazil.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top