Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Asha Salum ‘Kidoa’.
MUIGIZAJI ambaye pia ni Mshindi wa Shindano la Ijumaa Sexiest Girl 2015, Asha Salum ‘Kidoa’ amesema katika mwili wake atavaa vyote lakini bila kuwa na cheni kiunoni hujiona hajatimia.
Akizungumza na Star Mix, Kidoa ambaye kwa sasa anaigiza Tamthiliya ya Huba alisema kuwa, iliwahi kumtokea siku moja akasahau kuvaa cheni kiunoni, alijihisi hana amani na muda wote alijiona mtu wa aibu.
“Kiukweli yaani kwenye mtoko wowote bila kuvaa cheni kiunoni sijui najionaje? Najiona kama sijatimia vile. Napenda sana kuvaa cheni, imekuwa kama ugonjwa kwangu,” alisema Kidoa


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top