Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mwanamume mmoja ashtakiwa baada ya kupatikana na vikombe vya kahawa vilivyo na picha ya Adolf Hitler katika uwanja wa ndege UjerumaniMaafisa wa forodha nchini Ujerumani wamemkamata mwanamume mmoja baada ya kupatikana na vikombe vya kahawa 13 vyenye picha ya Adolf Hitler pamoja na ishara zingine za Nazi.Mwanamume huyo mwenye umri wa miaka 39 alipatikana katika ukaguzi wa uwanja wa ndege wa Dusseldorf na kushtakiwa kwa makosa ya jinai .
Vikombe hivyo vitavunjwa baada ya kufanyiwa uchunguzi.
Nchini Ujerumani kupatikana na au kuingiza vitu kama hivyo kisheria mtu hupatiwa adhabu ya miaka 3 jela


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top