Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Ikiwa kumekuwa na story kitaani za kudai kwamba Billnass ndiye aliyeziba pengo la Godzilla kwenye game ya music baada ya kupotea, ila personally Billnass hakubaliani na story hizo kwasababu anadai kuamini kuwa hawezi ziba pengo la mtu ambaye hajafa.
Billnass ametusanua kuwa Zilla ni rapper mkali na anayestahili heshima kubwa kutokana na yeye kumtangulia kwenye game na zipo ngoma zake ambazo anazikubali kinoma kias kwamba huwa anatamani hata kuzifanyia remix.
Billnass amezitaja Nataka na King Zilla kama ngoma flani hivi kali kutoka kwa Godzilla na anazikubali kinoma kias kwamba huwa anatamani hata kuzifanyia remix.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top