Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Msanii wa Bongo Fleva, Haitham ameelezea jinsi alivyofanya kazi na mrembo Wema Sepetu.
Haitham ambaye amemshirikisha Wema Sepetu katika wimbo wake mpya ‘Play Boy’, ameiambia XXL ya Clouds FM kufanya kazi na Wema kumeongeza uzito wa jina lake.
“Toka nimetoa ngoma na Wema nimeona watu wamenipokea vizuri tena zaidi na zaidi lakini sio kwa sababu nimefanya na Wema pekee yake tu, kwa sababu ya muziki mzuri, watu pia wanasema muziki ni mzuri,” amesema  Haitham.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top