Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Moja ya gumzo kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa ni uwepo wa video fupi inayomuonesha mwananke anayedaiwa kuwa mchawi baada ya kukutwa katikati ya barabara akiwa bila ungo na baadhi ya vitu vinavyodhaniwa vya kishirikina.Sasa new stori leo leo July 20, 2017 kwenye Hekaheka ya Leo Tena ya Clouds FM mtangazaji Geah Habibu katusogezea hii iliyotokea Kipunguni ambako mwanamke mmoja mwenye mume na watoto alikutwa katikati ya barabara akiwa bila nguo kwa kinachodaiwa ni maelekezo ya Mganga.
Tukio hilo limetokea July 18, 2017 majira ya saa sita mchana ambapo baada ya kukutwa katika hali hiyo wananchi walidhani ni mchawi na wakadhamiria kumchoma moto lakini aliokolewa na Polisi baada ya taarifa kumfikia Mwenyekiti wa eneo hilo


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top