Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Beyonce na mapacha wake.

MWANAMUZIKI maarufu duniani, Beyonce Knowles kwa mara ya kwanza ameawaanika hadharani watoto wake mapacha ikiwa ni takribani mwezi mmoja baada ya kujifungua.
Alichokiandika Beyonce Januari akiwa na mimba.
Muimbaji huyo kupitia mtandao wa Instagram, ameonyesha kuwa watoto hao wana mwezi mmoja tangu wamezaliwa.

Beyonce na mumewe Jay Z.

“Sir Carter and Rumi 1 month today. ,” ameandika Queen Bey kwenye mtandao huo.

Beyonce na familia yake.

Mapacha hao waliozaliwa ni mmoja wa kike na mwingine wa kiume na tayari walishapewa majina ya Sir na Rumi.
Alichokiandika Beyonce leo.Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top