Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Hamisa Mobetto ameonyesha kuwa yeye hamuogopi mtoto yeyote ata Zari Hassan ambaye ni ‘mke’ wa Diamond Platnumz na mama ya watoto wake wawili. Hii ni baada ya mrembo huyu kuandika ujumbe ambao umewaacha wengi wakijiuliza ikiwa mtoto anaye mtarajia ni wa Diamond Platnumz. Mrembo huyu aliandika kusema,
Mama Daa…? Mama dee…? Mama dii..? Mama doo..? Mama duh..? Kulingana na mashabiki wa mrembo huyu, kuna unawezo kuwa Hamisa Mobetto alikasirishwa na video ambazo Zari aliwachia Jana kwenye Instagram yake – huku akionekana akitabasamu Diamond akimchezea gitaa wakiwa wawili huko Afrika Kusini. Tazama post hiyo hapa;Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top