Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Hatimaye mlinzi wa kulia wa kimataifa wa Brazil Dani Alves ameipiga chini ofa ya Manchester City na kukubali kujiunga na klabu ya Paris Saint-Germain ya Ligue 1 akiwa mchezaji huru takribani siku 378 baada ya kujiunga Juventus.Dani Alves, mwenye umri wa 34, alikaribia kuungana na meneja wake wa zamani alipokuwa Barcelona Pep Guardiola katika dimba la Etihad, lakini ghafla alibadili mawazo na kutua PSG ambayo ilitoa ofa ya mshahara wa paundi 230,000 kwa wiki.

W


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top