Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Wachezaji nyota wa klabu ya FC Barcelona inayoshiriki ligi kuu nchini Hispania (LA LIGA), Gerard Pique, Sergio Busquets na Jordi Alba wapo nchini Qatar wakiwa wametembelea Academy maarufu ya Aspire iliyopo jijini Doha.
Licha ya kutembelea kituo hicho cha kukuzia vipaji vya mchezo wa Soka pia wameonekana katika fukwe mbalimbali wakijiachia na kufurahia maisha yakiwemo maeneo ya Jangwani.Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top