Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Mkali wa Miondoko ya RNB Bongo Ben Pol ambaye yupo kwenye penzi zito la Mwanadada Mchekeshaji Ebitoke amesema kuwa wanaodhani kuwa mapenzi ya wawili hao ni kiki wasubiri kuona ndoa imefungwa.
Hayo ameyasema Jana wakati wa show ya Miaka kumi na tanoya Msanii Mkongwe Saida Kalori,Escape one Jijini Dar es Salaam.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top