Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Baada ya kummwagia fedha walipokuwa New York bado Mayweather hakumuacha salama McGregor walipokutana tena SSE Arena, Wembley, London mara hii akimtambia kwa kumuonesha saa yenye thamani ya dollar 1.4 milioni (£1.06m), ambazo ni zaidi ya Tsh. 3 bilioni.
Hatua hiyo ilikuja baada ya Conor McGregor kumwambia Mayweather kuwa amevaa high heels walipokuwa kwenye ziara London kuelekea pambano lao.
Tunahesabu siku 40 kuanzia leo ili kuifikia August 26 tarehe ambayo inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa mchezo wa ngumi duniani kote kushuhudia pambano kati ya Floyd Mayweather vs Conor McGregor litakalopigwa T Mobile Arena, Las Vegasambapo Mayweather atavuna paundi 78m sawa na Tsh. 228.3 Bilioni.


M


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top