Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Sio tu uzuri bali hata fedha anazo pia, huyu ni video vixen kutoka Kenya, Vera Sidika ameanua kuonyesha jeuri ya fedha kwa kufanya matanuzi.

Vera ambaye kwa sasa yupo Uingereza baada ya kutoka Marekani ameonyesha kufuru ya hatari kupitia mtandao wa Instagram kwa kuweka picha akiwa nafanya matanuzi ya kibabe, kwa kula bata na kufanya shopping ya hatari.Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top