Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


Usiku wa July 6 2017 umekua ni usiku wa kusherehekea miaka 15 ya muziki wa hodari wa Tanzania Saida Karoli Escape One Mikocheni ambapo AyoTV ilitega kamera zake kwenye red carpet kumnasa kila anaeingiaGhafla si akatokea Ben Pol na Ebitoke wake…?!! kama ungependa kusikia walichosema baada ya kuhojiwa, tazama kwenye hii video hapa chini


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top