Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This


21 Savage ameamua kumwaga mchele kwenye kuku wengi. Rapper huyo wa Marekani ameamua kuweka wazi mahusiano yake na mwanamitindo Amber Rose.
Wiki iliyopita stori za wawili hao kuwa wapenzi zilisambaa sehemu mbalimbali huku mtandao wa TMZ, ukithibitisha kuwa Savage (24) ameonekana akimpeleka mrembo huyo mwenye um wa miaka 33, nyumbani kwa wazazi wake kumtambulisha pamoja na familia yake kwa ujumla.
Akiongea katika mahojiano na kituo cha radio cha Real 92.3, rapper huyo amesema, “That’s my girl, for sure,” he said. We just been kickin’ it. She’s a real cool woman, she treats me like a king, so it is what it is, but no disrespect will be tolerated at all. Keep your mouth closed, no hoes, no bitches, no nothin’, ’cause I’m pullin’ up, on God.”Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top