Featured
Loading...

ANGALIA PICHA YA MFANYABIASHARA WA MADINI ALIYEPIGWA RISASI ARUSHA.

 
Mwili wa Erasto Msuya na mmiliki wa SG HOTEL mkoani Arusha mara baada ya kupigwa risasi zaidi ya sita na watu wasioj
ulikana na kufa papo hapo.
 
Askari wakichunguza tukio la kupigwa kwa risasi kwa mfanya biashara huyu.
Mwili kulia mara baada ya kupigwa risasi na kulia ni gari la kifahari aina ya Ranger Rover eneo linalodaiwa kupigwa risasi mfanyabiashara huyu. 
Picha kwa hisani ya mdau Mutoto wa Arusha.

Habari zilizotufikia hivi punde Kutoka chumba chetu cha habari zinaeleza kuwa mmoja wa Wafanyabiasha wakubwa wa Madini jijini Arusha aliyejulikana kwa jina la Erasto Msuya na pia ni mmiliki wa SG HOTEL mkoani humo, amepigwa risasi zaidi ya sita na watu wasiojulikana na kufa papo hapo.


Habari zinaeleza na kubainisha zaidi kuwa Marehemu alikuwa akitokea KIA kwenda BOMA ambako alikuwa ameitwa na watu (ambao hawakujulikana mara moja) ili wakafanye biashara. 


Habari zaidi tuvute subra kidoogo,tutazidi kufahamishana kadiri ya taarifa zitakapokuwa zikiingia.

Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi-Amen.
Julius Kambarage Nyerere (13 April 1922 – 14 October 1999) was a Tanzanian statesman who served as the leader of Tanzania, and previously Tanganyika, from 1960 until his retirement in 1985.[2] Born in Tanganyika to Nyerere Burito (1860–1942), Chief of the Zanaki,[3] Nyerere was known by the Swahilihonorific Mwalimu or 'teacher', his profession prior to politics.[4] He was also referred to as Baba wa Taifa (Father of the Nation).[5] Nyerere received his higher education at Makerere University in Kampala and the University of Edinburgh. After he returned to Tanganyika, he worked as a teacher. In 1954, he helped form the Tanganyika African National Union.. Check her out:
Newer Posts Older Posts
© Copyright MATUKIO NA VIJANA | Designed By TOLEOJIPYA.COM
Back To Top