Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail ThisAnt Ezekel na wema sepetu wakifuhahia pamoja juzi wakawa kwenye sherehe ya kumpongeza Msaani wa Bongo Movie Kajala Masanja Baada ya kunusurika kwenda jela...


Habari iliyokuwa ikiripoti kuwepo kwa ugomvi wa wasanii wa wawili wa Bongo Movie kati ya Wema sepetu na Anti Ezekeli ni uwongo.Uchunguzi uliofanywa na audifacejackson Blog uliwakuta wasanii hao wakiburudika kwa pamoja bila hata chembe ya shaka na ndipo tulipofanikiwa kumwoji shuhuda mmoja aliyekuwa katika sherehe ya kumpongeza Msaani wa Bongo Movie Kajala MasanjaBaada ya kunusurika kwenda jela aliyefahamika kwa jina moja la Abduli  .
Abduli aliuambia mtandao huo ulikuwa uvumi na maneno ya watu tu kwani wasanii hao ni marafiki wa siku nyingi na wako karibu sana..
Akiongea na mwandishi wa audifacejackson blog Abdul alisema hayo ni maneno ya mtaani ya watu wanaotaka kuwachonganisha wasanii hawa,Akendelea aidi alisema kisa chenyewe kilichotajwa katika uvumi wa ugomvi wao hakina maana yoyote.


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top