Featured
Loading...

BREAKING NEWS: HALI SI SHWARI MTWARA GARI LA POLISI LACHOMWA MOTO NA INASEMEKANA NYUMBA YA MH HAWA GHASIA YABOMOLEWA MUDA HUU


Mwandishi wa habari  aumia katika vurugu za kgesi mtwara zinazoendela muda

Askari wa kutuliza ghasia wakiwa tayari kutuliza fujo Mtwara kwa kile kilichoelezwa ni vurugu zinazoendelea za gesi
VURUGU zinaendelea mjini Mtwara ambapo kwa sasa wananchi wamechoma moto vyoo vya mahakama ya Mwanzo na kuvunja vioo vya Nyumba ya Hawa Ghasia Waziri wa Tamisemi na Mohamed Sinani Mwenyekiti wa CCM mkoa zilizopo mtaa wa Sinani.
Wakiwa katika mahakama ya mwanzo Polisi walizingirwa na vijana waliokuwa wamebeba mawe na kufunga barabara zote za kuingia na kutoka kituo kikuu cha mabasi na soko kuu, licha ya kufyatua hewani mabomu ya machozi.
Baadhi ya barabara zimezibwa kwa kuchomwa matairi ya gari, na kuongeza hofu kwa wananchi……

........ endelea kufuatilia AUDIFACEJACKSON BLOG tutakuletea picha zaidi za hali ilivyo huko ......
Julius Kambarage Nyerere (13 April 1922 – 14 October 1999) was a Tanzanian statesman who served as the leader of Tanzania, and previously Tanganyika, from 1960 until his retirement in 1985.[2] Born in Tanganyika to Nyerere Burito (1860–1942), Chief of the Zanaki,[3] Nyerere was known by the Swahilihonorific Mwalimu or 'teacher', his profession prior to politics.[4] He was also referred to as Baba wa Taifa (Father of the Nation).[5] Nyerere received his higher education at Makerere University in Kampala and the University of Edinburgh. After he returned to Tanganyika, he worked as a teacher. In 1954, he helped form the Tanganyika African National Union.. Check her out:
Newer Posts Older Posts
© Copyright MATUKIO NA VIJANA | Designed By TOLEOJIPYA.COM
Back To Top