Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail ThisWanafunzi wote waliokuwa wame apply nafasi za upolisi kitengo cha tehama usahili utafanyika kuanzia tarehe 17 ,18 na 19  mwezi septemba mwaka huu katika chuo cha (Dar es salam  Institute of Techinology )DIT Waombaji wanatakiwa kuja na vyeti vyao vyote.Ukiskia tangazo hili mtaarifu na mwenzako.
kwa maelezo zaidi ingia http://www.policeforce.go.tz/


Facebook Blogger Plugin by

Post a Comment

 
Top